Nilikua nashangaa kwann huyu jamaa hapewi nafasi zaidi serikalini, nina imani nae kama hatopata mizengwe atafika mbali na hakika atatusaidia kama nchi kusonga mbele. Napenda sana anavyojenga hoja zake na ku-analyze sekta mbalimbali za kiuchumi ili ziweze kufanykaz kwa kutegemeana na kupata matokeo makubwa. All in all kwa kiasi kikubwa inategemeana na yeye binafsi alivyojipanga maana sisi wabongo tunavitu vingi vinatembea vichwani mwetu.