Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Atoke huyo tunataka mpyaMbunge Wa Nzega Mjini aliyemaliza Muda wake Hussein Bashe amefanikiwa kuibuka kidedea kwenye Kula za Maoni na Kupitishwa na Wajumbe kwenye Kinyang’anyiro cha Kugombea nafasi ya Kuiwakilisha CCM kwenye Kiti cha Ubunge wa Jimbo Hilo .
Bashe amepitishwa na Wajumbe na Kuongoza kwenye kata zote 10 na kumshinda Peter Mashili aliyekua anagombea nae nafasi hiyo .
Ni ngumu sana bashe kushindwa nzega,mashiki hana ubavu wa kupambana na basheMbunge Wa Nzega Mjini aliyemaliza Muda wake Hussein Bashe amefanikiwa kuibuka kidedea kwenye Kula za Maoni na Kupitishwa na Wajumbe kwenye Kinyang’anyiro cha Kugombea nafasi ya Kuiwakilisha CCM kwenye Kiti cha Ubunge wa Jimbo Hilo .
Bashe amepitishwa na Wajumbe na Kuongoza kwenye kata zote 10 na kumshinda Peter Mashili aliyekua anagombea nae nafasi hiyo .
Ni ngumu sana bashe kushindwa nzega,mashiki hana ubavu wa kupambana na bashe
Bashe ni msomali mtanzania kazaliwa,nzega,kasoma nzega hadi O level,ni mwenyeji wa nzega kuliko mashili ambae amekuja tu nzega,pia bashe kafanya maendeleo makubwa sana nzegaWatanzania kwa kweli hawajaamka. Wanamwacha mswahili mwenzao wanamchagua Msomali, wakati wao hawawezi kwenda Somalia wakaambulia hata kura 1.
Kwa ccm all you need is connection and money, wajumbe sijui taratibu zina apply kwa wasiokuwa na nguvuHuyu msomali anamshindaje mzawa?
Waeleze hawa, Mhe bashe ni mzalemdo wa nzega kwa kiwango cha juu Sana, hongera Sana wajumbe mmeonyesha uungwana wa hali ya juu SanaBashe ni msomali mtanzania kazaliwa,nzega,kasoma nzega hadi O level,ni mwenyeji wa nzega kuliko mashili ambae amekuja tu nzega,pia bashe kafanya maendeleo makubwa sana nzega