Bashe deal na Wakulima na sio Majobless wa UVCCM

Bashe deal na Wakulima na sio Majobless wa UVCCM

Mtuturas

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2017
Posts
456
Reaction score
867
Yaani badala ya kudeal na kuwaboreshea wakulima waliopo kwenye mazingira ya ukulima, yeye ameamua kwenda kuokoteza majobless waliojipachika UVCCM na kuwalazimishia kwenye ukulima kwa gharama za serikali.

Sawa jamii inakuona na imekuelewa.
Ila tambua unachokifanya ni matumizi mabaya ya raslimali za umma.
 
Kama anafanya hivyo project nzima inaenda kufeli vibaya kwa gharama za pesa za kodi yetu.
 
Yaani badala ya kudeal na kuwaboreshea wakulima waliopo mazingira, yeye ameamua kwenda kuokoteza majobless waliojipachika UVCCM na kuwalazimishia kwenye ukulima kwa gharama za serikali.

Sawa jamii inakuona na imekuelewa.
Ila tambua unachokifanya ni matumizi mabaya ya raslimali za umma.
Bashe usisikilize hao nyumbu,wakazie kama Mwigulu na January walivyowakazia
 
Yaani
Yaaaa upo sahihi mkuu na kuna kazi flan ya siri ilitoka...kigezo ni lazma uwe UVCCM unayejulikana toka katan.... CCM hawajui kuna watu hawana chama na hii nchi n ya wote..
Yaani wazo la kutaka kuchagiza kilimo laweza kuwa ni zuri, lakini vigezo vya vijana waliochaguliwa na ambao wanao jaribu, kuwahusisha kwenye kilimo, wangekuwa wale ambao wako tayari kwenye mazingira ya ukulima au wamechukuliwa straight, baada ya kumaliza JKT kutoka na sio hao vijana toka mijini,ambao wengi wao itakuwa ni fursa tu ya kujiegesha tu, kwenye huo mradi kwa vile hawana kazi kwa sasa...Kwa hiyo pamoja na labda nia nzuri ya wizara mradi , mwisho wa siku, mradi waweza kuishia kuwa unsustainable, kwani wengi wa hao vijana baadae watarudi mijini, once ,watakapoachiwa peke Yao, waendeshe kilimo bila msaada wa serikali.......Anyway, kwa vile Tz imekuwa ya kubet... Na hill nalo la kilimo basi ngoja tujaribu......
 
Influencers wanakula hela kwenye huo mpango.
 
Yapo mambo najifunza kwa kweli, uongeaji ni Stadi tu ya uongezi au kipaji fulani na sio utendaji,
Professor, muhongo anaustadi wa kuongea anapokuwa bungeni lakini utekelezaji katika jukumu rasmi huwa hauonekani
Alkadhalika bwana bashe anapokuwa bungeni anapoanza kuongelea khabari za kilimo hakika utaona haswa huyu anafaa lakini kwenye implementation anakuwa zero, nadhani kuongea ni fani kama fani nyingine, na utekelezaji wa jambo kipawa na ari fulani tofauti na maongezi, the same to Lissu na mastadi wengi tu wa kimaongezi.
 
MPANGO UMEGEUZWA KUWA SIASA NAMUONA MPAKA KIJANA WETU HEMED ALY WAMEMTEKA
 
Yaani badala ya kudeal na kuwaboreshea wakulima waliopo mazingira, yeye ameamua kwenda kuokoteza majobless waliojipachika UVCCM na kuwalazimishia kwenye ukulima kwa gharama za serikali.

Sawa jamii inakuona na imekuelewa.
Ila tambua unachokifanya ni matumizi mabaya ya raslimali za umma.
Hivi si ndio ile ya 10% mpaka uwe kada matokeo yake kila CIEG kila akisimama anasimama nao
 
Back
Top Bottom