Sema ina maslai sana unapewa ekari kumi kwa miaka 66 sio mchezoKama anafanya hivyo project nzima inaenda kufeli vibaya kwa gharama za pesa za kodi yetu.
Nadhani ni mbili tu, kumi zimetoka wapi? au ni Propaganda?Sema ina maslai sana unapewa ekari kumi kwa miaka 66 sio mchezo
Bashe usisikilize hao nyumbu,wakazie kama Mwigulu na January walivyowakaziaYaani badala ya kudeal na kuwaboreshea wakulima waliopo mazingira, yeye ameamua kwenda kuokoteza majobless waliojipachika UVCCM na kuwalazimishia kwenye ukulima kwa gharama za serikali.
Sawa jamii inakuona na imekuelewa.
Ila tambua unachokifanya ni matumizi mabaya ya raslimali za umma.
Yaani wazo la kutaka kuchagiza kilimo laweza kuwa ni zuri, lakini vigezo vya vijana waliochaguliwa na ambao wanao jaribu, kuwahusisha kwenye kilimo, wangekuwa wale ambao wako tayari kwenye mazingira ya ukulima au wamechukuliwa straight, baada ya kumaliza JKT kutoka na sio hao vijana toka mijini,ambao wengi wao itakuwa ni fursa tu ya kujiegesha tu, kwenye huo mradi kwa vile hawana kazi kwa sasa...Kwa hiyo pamoja na labda nia nzuri ya wizara mradi , mwisho wa siku, mradi waweza kuishia kuwa unsustainable, kwani wengi wa hao vijana baadae watarudi mijini, once ,watakapoachiwa peke Yao, waendeshe kilimo bila msaada wa serikali.......Anyway, kwa vile Tz imekuwa ya kubet... Na hill nalo la kilimo basi ngoja tujaribu......Yaaaa upo sahihi mkuu na kuna kazi flan ya siri ilitoka...kigezo ni lazma uwe UVCCM unayejulikana toka katan.... CCM hawajui kuna watu hawana chama na hii nchi n ya wote..
Hivi si ndio ile ya 10% mpaka uwe kada matokeo yake kila CIEG kila akisimama anasimama naoYaani badala ya kudeal na kuwaboreshea wakulima waliopo mazingira, yeye ameamua kwenda kuokoteza majobless waliojipachika UVCCM na kuwalazimishia kwenye ukulima kwa gharama za serikali.
Sawa jamii inakuona na imekuelewa.
Ila tambua unachokifanya ni matumizi mabaya ya raslimali za umma.