chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Wizara ya ujenzi inaweza kuandaa mkakati wa kuibua wakandarasi wadogo, hasa wanaomaliza vyuo na kuwa na uzoefu ambao wataona unafaa.
Wawatake kuunda kampuni, na wawape kipaumbele Cha tenda za ujenzi za kiwango fulani wakati wakikua kama kampuni. Kampuni hizo ziorodheshwe, na iwe sharti kuzipa kazi kampuni hizo tu kwa kazi za kiwango fulani.
Hii inaweza kwenda kwa wizara nyingine kama ya nishati, pia madini, wanaibua Kitalu Cha uchimbaji, wanatafuta wanafunzi waliotoka chuo, kampuni zao zinapimwa, Kisha wanapewa Kitalu hicho.
Wizara ya uvuvi, Kuna ufugaji wa samaki wa vizimba.
Wizara ya utalii, mnaweza kuwezesha maeneo maalum kwa wahitimu wakaanza hivyo.
Kila wizara iwe na initiatives.
Na ili kuiboresha, wawe wanaandaa paper na business plan, zinapitiwa na wataalamu ndipo wanapata hizo grants