Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

Hilo soko la hayo mazao lipo au ni blaa blaa๐Ÿšฎ
 
Kwenye serikali hakuna mtu.muhuni kama bashe kwa sasa kwenye hii serikali.
 

View: https://www.instagram.com/p/C_28jryA2WO/?igsh=ZjF5YmM3NmFpOWdp
 
Hataki utani na nani, wananchi wanalima sana ila kuna genge la wahuni serikalini ndiyo linawaangusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ