Tuna waziri kiazi si wengine ndugu zetu wakulima,yaani hapo anapiga kelele ila wakulima washauza chakula tokea mwaka jana.Nimekuwa nikimsikia Bashe akijipata kuwa anawatetea wakulima wauze wanavyotaka kwani kilimo ni biashara.
Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa naomba unitajie angalau majina ya wakulima 10 wwaliofanikiwa kuuza mchele sh 3,500 kwa kilo ili tuwafahamu twende tukajifunze kwao walivyotajirika kwa kilimo.
Hata MO ni mkulima mjue infact 90% ya watanznaia ni wakulima; sasa bahati mbaya hili group kubwa lipo katika nodes mbalimbali za supply chain maana nikisema "value chain" nitakuwa nime exaggerate maana hakuna value addition ya maana hapa nchini kwakua hakuna viwanda vya maana zaidi ya hivi vyaku kusaga unga na kukoboa mchele...Then waziri anashindwa kuelewa hii diversity ya wakulima anatumia simplicity kusema eti wakulima wanafaidika, this is a tragedy, somebody has to help these people na ni watendaji ndiyo wanampotosha bila kujali welfare ya watanzania...Tuna waziri kiazi si wengine ndugu zetu wakulima,yaani hapo anapiga kelele ila wakulima washauza chakula tokea mwaka jana.
Sasa hivi wenye hizo bidhaa ni walanguzi, eti anadai awamu yake wakulima ndio wanapiga pesa tatizo lake hana hata data,wakulime hali zao zipo vilevile wanaopiga pesa walanguzi
Ameanika upumbavu wake sahizi. Hamna mtu mleSiku zote nilijua Bashe yuko smart kichwani! Kumbe ni empty head.
wafanya biashara ndo wanauza kwa Bei hiyo na zaidi, wakulima watakuwa wanauza 1000-1800/ haiwezi kuzidiNimekuwa nikimsikia Bashe akijipata kuwa anawatetea wakulima wauze wanavyotaka kwani kilimo ni biashara.
Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa naomba unitajie angalau majina ya wakulima 10 wwaliofanikiwa kuuza mchele sh 3,500 kwa kilo ili tuwafahamu twende tukajifunze kwao walivyotajirika kwa kilimo.