Uchaguzi 2020 Bashiri Ally mwenyekiti CUF wilaya ya Ubungo atia nia kugombea ubunge jimbo la Handeni Vijijini

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234
IMG_20200601_104549_611.jpg

Mwenyekiti wa Wilaya ya Ubungo CUF Bashiri Ally Atia nia ya Kugombea Ubunge Jimbo La HANDENI VIJIJINI katika Uchaguzi
 
CCM inaingia kwenye uchaguzi kwa lengo la kuchukua viti vyake kwa nafasi mbalimbali na si kushindwa sehemu yenye kiti/viti, hii ni kwa sababu ya maendeleo makubwa yaliyoletwa na CCM chini ya Rais Magufuli. CHINI YA CCM, NCHI INASONGA MBELE
 
Hata hao ndugu zenu mnataka tena kuwabania!.
 
Back
Top Bottom