Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Hahahaaa. Hapo kwa GENTAMYCINE Uko sahihi kabisa.
Sky Eclat -Mwalimu
Heaven Sent -Mwalimu
charminglady -Mwalimu
MO11 -Dalali
Beira Boy -Form six failure, sasa anasoma certificate ya hotel management
SHIMBA YA BUYENZE -mjasilia mali (muuza duka)
MBITIYAZA -Dada yuko chuo anasoma
hahaaah huyu atakuwa kondaDemiss [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chata nyingine hiiiii kuanzia Bagamoyo Mapinga Bunju Tegeta Mwenge mpaka Mbagala rangi Tatu Mzinga kongoweeee
Bado hamna aliepatiaMzigua wameshakubashiria au bado?
HayaaKujengaaa na kupaka rangi [emoji38][emoji38]
Uje kuniungisha basiNaunga mkono hojaaaa
Tumebashiri sawaSky Eclat - Daktari.
Anhaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kazi
hakunaKuna lingineeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumebashiri sawa