Utakuwa unatoa dawa kwa wateja [emoji1]Uwiiii mm je?
DUCE[emoji16][emoji16][emoji16]wapi Udsm au?
Hahah...Wewe Utakuwa kwenye Kampuny nakutafutia kazi yako
Wewe utakuwa MwalimuMie naambiwa ni DJ kwi kwi kwi kwi lol!
Au ARDHI[emoji23][emoji23][emoji23]aiseee ngoja aje kuthibitisha @aghata samwel
Sawa Mwenza [emoji4]Sijui kalala ngoja nimpigie simu
nitabirie na yangu mkuuKubashiri day karibuni.
Mshana Jr - Mganga wa kienyeji
Mwifwa - Manager NGOs
GENTAMYCINE - Askari magereza keko.
Hazard FC - Kondakta Dar -Arusha
Prondo - Muuza screpa za Magari
Nalendwa -Huyu madam wa A level History
Hajar -Mother House
Aspirin -Mstaafu anasubiria mafao amekuwa dalali kijiweni.
Mama Sabrina [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
missyrose -Mama ntilie
Mwanamke laana kweli ww [emoji23][emoji23][emoji23]Looooh khaaaaaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji114][emoji114][emoji114]
Kubashiri day karibuni.
Mshana Jr - Mganga wa kienyeji
Mwifwa - Manager NGOs
GENTAMYCINE - Askari magereza keko.
Hazard FC - Kondakta Dar -Arusha
Prondo - Muuza screpa za Magari
Nalendwa -Huyu madam wa A level History
Hajar -Mother House
Aspirin -Mstaafu anasubiria mafao amekuwa dalali kijiweni.
Mama Sabrina [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
missyrose -Mama ntilie