Israel[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]majukumu ya nan?
Wale wengi wanakuaga warefu,weusi,wembamba halafu huwa wanakua wameweka rough dread[emoji23] [emoji23]Demiss.. Wale wadada wa scrub barber shop
Hahaahaha nimecheka sanaPenyeweeee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndo siku tunakutana nakukuta upo store za wachinaaa uwiiii mambo ya kukimbiana