MJINI CHAI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 2,202
- 1,228
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Demiss kiukweli huwa nahisi ni wale wa buguruni kimboka
Huyo wakishua yupo jiji jipya Tanzania.Demiss kiukweli huwa nahisi ni wale wa buguruni kimboka
[emoji23]Kubashiri day karibuni.
Mshana Jr - Mganga wa kienyeji
Mwifwa - Manager NGOs
GENTAMYCINE - Askari magereza keko.
Hazard FC - Kondakta Dar -Arusha
Prondo - Muuza screpa za Magari
Nalendwa -Huyu madam wa A level History
Hajar -Mother House
Aspirin -Mstaafu anasubiria mafao amekuwa dalali kijiweni.
Mama Sabrina [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
missyrose -Mama ntilie
bado nasubiria list nione ya yanguKubashiri day karibuni.
Mshana Jr - Mganga wa kienyeji
Mwifwa - Manager NGOs
GENTAMYCINE - Askari magereza keko.
Hazard FC - Kondakta Dar -Arusha
Prondo - Muuza screpa za Magari
Nalendwa -Huyu madam wa A level History
Hajar -Mother House
Aspirin -Mstaafu anasubiria mafao amekuwa dalali kijiweni.
Mama Sabrina [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
missyrose -Mama ntilie
unataka ugomvi weweNakazia hapo kwa hajar
Hahah kwanini shem?unataka ugomvi wewe
huyo sio mama wanyumbaniHahah kwanini shem?
Inshaallah bbysis[emoji3][emoji3][emoji3]dada I wish siku moja tuonane kuna kitu kizur nataka nikwambie
Hahaaaa. Lol.
Nakazia na mie jamaani.