Khaaaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Joseverest mlinzi wa guest
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]unataka ugomvi wewe
Na mimi pia aiwishiInshaallah bbysis
Le madameHahahaaa. Hapo kwa GENTAMYCINE Uko sahihi kabisa.
Sky Eclat -Mwalimu
Heaven Sent -Mwalimu
charminglady -Mwalimu
MO11 -Dalali
Beira Boy -Form six failure, sasa anasoma certificate ya hotel management
SHIMBA YA BUYENZE -mjasilia mali (muuza duka)
MBITIYAZA -Dada yuko chuo anasoma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huku hamna mama ntilie ni kila mtu anajipikia kwake
Duh..wewe kiboko nimekuvulia kofia!Unauzaaaa majenezaa
Tuombe kheri tuuNa mimi pi aiwishi
Hilo ndio la muhimu sanaTuombe kheri tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahha na ile familia yake
Leo ni vituko hapa na mlinzi wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]tabia mbaya
Dada Hajar akipita huku mfikishie salamu zangu[emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwana family nipo hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwana family nipo hapa
Ni kweli kabisa Joseverest alikuwa mlinzi wa guest, ila naona sikuhizi atakuwa na job ingine maana sio Joseverest yule tuliyemzoea!Joseverest mlinzi wa guest
Nilikuwa nimejipumzisha kitandani huku nikiwa naperuzi huku, ghafla bin vuuu mnazi ukanichukua kama Ngoswe vile[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwann hujanitaarifu kama unalala tabia mbaya ujue
Hapo nimejibu kwa kuperuzi uzi kurudi nyuma ndio maana nimetangulia kuijibu hiyoLoooh hapa nimebak mdomo wazi sms yangu hujaona ila ya wifiii umeona sawa tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] naona
Kashapita labda akirejea tena kesho maana sasa hivi atakuwa ameanza kuota yupo Jupiter[emoji23] [emoji23]Dada Hajar akipita huku mfikishie salamu zangu[emoji3]
SawaNimekuonaaa kaka twende kaziiii