Umeona eeehh, tunalijenga taifa kwa kwenda mbele my babetena amekupa kazi yaheshima wala hajabuni
Mmh ngoja nije chemba unimegee vizuriAmeanza kujifunza chai sijui nan kamuambukizaaaa
Duh afadhaliHiyo nzur bhn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
hahaahaaWewe subir na mm baby atoke motuary mtanikomaaa hapaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
ndo maana ukaitwa chamdeko[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hunifikiii mimi
kunywa wine kabisa[emoji3][emoji3][emoji3]nipe sodaaaa
mata***k******oMgh maana yake nn wifiii
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Sigawiki hapa, hakuna kushare utamu hata kidogo
π³ π³ π³ π π π π πKubashiri day karibuni.
Mshana Jr - Mganga wa kienyeji
Mwifwa - Manager NGOs
GENTAMYCINE - Askari magereza keko.
Hazard FC - Kondakta Dar -Arusha
Prondo - Muuza screpa za Magari
Nalendwa -Huyu madam wa A level History
Hajar -Mother House
Aspirin -Mstaafu anasubiria mafao amekuwa dalali kijiweni.
Mama Sabrina [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
missyrose -Mama ntilie
nakupendaUmeona eeehh, tunalijenga taifa kwa kwenda mbele my babe
huyu dawa yake ipoAnadangany huyooo wifiiii
Wewe kazi yako ipi?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Agatha unauza duka la urembooo Sinza
Au wewe kazi yako kama ya mama Sabrina!!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Agatha unauza duka la urembooo Sinza
HahhahaKashapita labda akirejea tena kesho maana sasa hivi atakuwa ameanza kuota yupo Jupiter[emoji23] [emoji23]