[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]usisemeee basiii kama nilikuja unachocheaa ugomvi
Hata usihangaike jinsi ulivyokuwa ulikuwa vizuri tu.Saa ngapi nambie nijipareee kisomali
HahahaaaWe mbona unaitafuta talaka kwa nguvu hivyo, yaani unatamka hadharani kabisa eti Mshana Jr ni mganga wa kienyeji...!!
Anyway siku yoyote akikupa talaka, ni pm hutojuta kwa hayo malovidavi nitakayokupa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe subir na mm baby atoke motuary mtanikomaaa hapaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]