Nitakutag usijari...Akija unitag
Haaaaaaaaa ndo ujue tunajichosha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Usikute yupo home kalala tu
Atakuwa anafundisha Arts[emoji2][emoji16][emoji16][emoji16]walimu wa huko wako free sana
Hapo sawa [emoji4]Sina kinyongo mwenzaaaa[emoji16][emoji16][emoji16]kizur kula na nduguyo
Hahaaaa. Kumbe upo mdogo wangu.Hapo umechemka.
Shemeji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Demiss ...mama ntilie
Mzigua90.. anauza kagrocery kake
Jolie Jolie ... Muandishi wa habari za udaku
Shunie ... Dada wa saluni
Mama Sabrina ..muuza duka la vyakula
Nitaendelea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] subiri aje mwenyewe,,hivi unajua biashara ya grocery inalipa sanaShemeji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umemuonea Mzigua90
Hapo kwa Shimba umepatia kabisaaaaHahahaaa. Hapo kwa GENTAMYCINE Uko sahihi kabisa.
Sky Eclat -Mwalimu
Heaven Sent -Mwalimu
charminglady -Mwalimu
MO11 -Dalali
Beira Boy -Form six failure, sasa anasoma certificate ya hotel management
SHIMBA YA BUYENZE -mjasilia mali (muuza duka)
MBITIYAZA -Dada yuko chuo anasoma
Ila nilivyokazia mdogo wako agata akaja kulegezea tenaHahaaaa. Lol.
Nakazia na mie jamaani.
Nakomelea uziKubashiri day karibuni.
Mshana Jr - Mganga wa kienyeji
Mwifwa - Manager NGOs
GENTAMYCINE - Askari magereza keko.
Hazard FC - Kondakta Dar -Arusha
Prondo - Muuza screpa za Magari
Nalendwa -Huyu madam wa A level History
Hajar -Mother House
Aspirin -Mstaafu anasubiria mafao amekuwa dalali kijiweni.
Mama Sabrina [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
missyrose -Mama ntilie