Ila msiuziane mikorogo tu jamani, nasikia vipodozi vya kongo vinalipa sanaHahahaaa. Naja naja mdogo wangu si unajua nipo home tu muda huu. Hahaaaaa.
Naona ni swala la muda tu maana wapo katika mahaba mazito sijawahi kuona [emoji23][emoji23]Hii couple sijaona special siled yake[emoji23] [emoji23]
Demiss ni mgawa dawa, mke wa mgangaDemiss...msusi salon.
Hahahaha..Demiss ni mgawa dawa, mke wa mganga
Hahahaaaaaa. Hatuwezi bana Sesten.Ila msiuziane mikorogo tu jamani, nasikia vipodozi vya kongo vinalipa sana