Wewe uwe manager khakhaa! Naandamana! You know why??Mkuu ndoa ni raha sana
Namimi jeUwiiii mm je?
unataka kunifukuza JF nn shem...maana sio kwa kununa huko!!!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwakwkakakakakakakakak hahahahahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ngoja nizime data
Kwakwkakakakakakakakak hahahahahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwakwkakakakakakakakak hahahahahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwakwkakakakakakakakak hahahahahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Vumilia mkuu, na wewe zamu yako yaja hivi punde
Hahahaaaa. Lol.Naona ni swala la muda tu maana wapo katika mahaba mazito sijawahi kuona [emoji23][emoji23]
Lol ndrukiii [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]! nibadilishie adhabu jameni hio ntakonda sanaHahaha...
Shauri yako, utapumzika kuingia JF mwezi mzima...
Nawaona watu wa maduka ya vipodozi wanavyokimbizana na askari kuhusu vipodozi vyenye viambata vya sumu kutoka kongo, wenyewe wanasema ndio vinafaida kubwa sana na eti wateja wanavipenda! nyie hamtaki kupata faida kubwa Hajar na mwenzio?Hahahaaaaaa. Hatuwezi bana Sesten.
Sisi tunajali sana wateja.
asante sana mdog wanguPole sana Dada yangu