Itakuwa nimepatiaDr wa Akina mama[emoji114][emoji114][emoji114][emoji114]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Miss natafuta-mc wa kwenye maharusi.
Anaitwa ndundami [emoji23] [emoji23]Mwenza najua wewe msaidizi wa Mganga sina neno
DJ MaphosiMie naambiwa ni DJ kwi kwi kwi kwi lol!
Ngoja rada ifanye kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kazi gani?
Hapa hata sibishi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haaaaaa bado wawili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uke wenza raha muwe wanne
hivi kapeace yupo wapi siku hizi?[emoji20]Mambembe je?
Nipo...karibu dukani kuna vipodozi vya aina zote dear....Hahaaaa. Kumbe upo mdogo wangu.