Bashiri kazi ya members wa JF kwa kuangalia comment na Thread zake!

Haaa...wale wanaosha tu kichwa cha juu ukimaliza kushave
Ngoja nicheke kihutu Kwanzaa
Hihiiiiiiiiiiiii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mkuu nimecheka sana
maana najua mshana hana uwezo wa kununua kile ki Paso kwahio bila mkono wa bosi tungekuwa tunapishana Nyerere square na miguu.
mshana uwezo wake ni usafiri wa anga tena zile za kimataifa
 
Ghazwat itabid unipe kazi hapo kipindi cha mahusiano na mahabaaa na mm nianze kushukaaaa madini yangu. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji13]
Bwihi [emoji16] [emoji16] Mkuu Demiss unatakiwa upewe kipindi cha Upembuzi Yakinifu
 
Shunie - manager director MTN ( south Africa )

Pyaar - manager director BMW automobile company ( Germany )

Ledada - fashionist in Versace fashion wear. ( France )

Sky elact - assistant manager in apple company ( America )

Mzigua 90 - CEO manager in NRA - Nigeria revenue authority. ( Nigeria )

Culture gal - musician / producer in COKE STUDIO AFRICA.

Hajar - presenter in radar radio radio ( England )

Mama Sabrina - owner of hair millions beauty salon ( Tanzania )

Jakitoo - co - manager of KFC restaurant ( Tanzania )

Demiss - actress in Hollywood film industry. ( America )



Jamani eeenheee cheki bichwa zinavyo vimba hapo sasaaaaaaa....

Hapo kuna wauza duka reja reja , wauza matunda/ mboga mboga , wakaguzi wa tiketi za mwendokasi.... [emoji23] [emoji1]
 
Hahahahahaah hapo chini umeharibu sasaa umetutabiria vizuri,siku moja ipoo
 
Ewaaaaaa ila wewe nakufananisha na rafiki yangu wa Sinza kwa mugabee

Anauzaa TV kariakooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…