Huyu mdogo wetu kanishinda tabia kwakweli madam.Hahah!, umemuona lakini mdogo wangu kivuruge..
Sio kwa cheo kile ulichonipa madam mie[emoji23] [emoji23]Loooh siyo kwa cheko hilo
Ooooh kumbe, basi sawa.Madame wanguu huyu ananipaga mambo mazuri nimempa cheo chakeee
Alafu dada [emoji16][emoji16][emoji16][emoji114][emoji114]shikamoooooo
Huyu mdogo wetu kanishinda tabia kwakweli madam.
Kubashiri day karibuni.
Aspirin -Mstaafu anasubiria mafao amekuwa dalali kijiweni.
Hahahaaaa!!!Huyooo atakuwa Lecture wa Zion college
hivi walimu wa sayansikimu ndo tunaolewaga sana?
haha Mungu anakuonaHuyooo atakuwa Lecture wa Zion college