Yaani napenda kucheka jamani, naweza cheka hadi machoziNamaanisha unapenda kucheka kama rafiki yangu Apple
Huko kwa sasa nishamaliza, nimehamia mjini kati kwa sasaMambo vip Miss uuuu leo nilkuja mpaka Cafeee Decca
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]umeanza lini
KumbeeeeKanda ya kati hiyo
Na me niliuimbaHadi nimekumbuka ule wimbo wa kwenye tangazo lao.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haaaaaah haaaaa... Taja nisikie! Ukipatia, lunch ya Kesho juu yanguWewe mwajiriwa wa serikali upooo nitaje au nikukaushie?
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji116]Wagogo wamekutekaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na me niliuimba
Zion zion, ni chuo chenye maadili mema. ..
LooohView attachment 769598
Udongo Unakula Wengi.
One day yes mummy ndoto zako zitatimia. [emoji23]Hahahahahaah hapo chini umeharibu sasaa umetutabiria vizuri,siku moja ipoo