Bashiri mtu/watu kwa mujibu wa thread zake jinsi alivyo.

HAHAAA HILI JICHO SIO LA KHERI KABISAA...usije ukanibadilisha jinsia bure ....na mshangaa the miller anavyommendea demiss cjui anatafuta njia nyepesi yakufa ..maana kwa usawa huu wa magu stress haziishi yawezekana ameshafikiri kuji R.I.P so ameona kuwa mbinu za kunywa sumu ya panya ama kujinyonga hatoziweza ..so kaamua aje akuchokoze tu ili safari yake iwe nyepesi ..hahaaa
 
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
hahaaaa weeee mzee na hcho kitambi utaweza kummudu huyo mtoto au wataka uzimie tu ''""
umpe kesi mtoto wawatu ndugu zako waseme kuwa amekuuwa makusudi ili apate kurithi Mali zako

hahaaas
Una wivu na mali tu mkuu hutak nimiliki ulozi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…