Bashiri mtu/watu kwa mujibu wa thread zake jinsi alivyo.

Hatariii. Nyani Ngabu una mahaba usinitege mie nikategeka buree

Kusema ukweli najua sana kum spoil mchuchu!

Ukiwa nami ku wine and dine kwenye sehemu za ukweli ni jambo la kawaida.

Every now and then sioni shida kutumia dola efu kadhaa kukununulia pea mbili tatu za Manolo Blahniks uendelee kuwatandika fimbo za macho wale team macho kuvimba!
 
Yiiih. Nimeikumbuka ile saa yangu [emoji8][emoji8][emoji8]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…