Bashiri muonekano wa HR 666 ujipatie zawadi nono

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Leo nataka nione watu wananifahamu au kwenye akili zao wanahisi mimi nipo vipi


Sasa basi leo nataka nitoe kitita cha sh laki 5 kwa ambaye atapatia kuhusu muonekano wangu ,haya sasa twende kazi

1)HR 666 ni jinsia gani Me au Ke?

2)Mweupe au Mweusi au Maji ya kunde?

3)Mrefu au mfupi au saizi ya kati?

4)Mnene au mwembamba au saizi ya kati?


Haya sasa kazi kwako bashiri na ujishindie pesa taslimu laki5
 
mkuu utanitaftia bani tuu .. Maana SPSS ya kichwa changu inamajibu murua saana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…