Bashiri yangu ya mechi za robo fainali ya UEFA itafyokua

Bashiri yangu ya mechi za robo fainali ya UEFA itafyokua

Hao Ajax tuliwapiga 3 katika fainali ya Europa tukachukua ndoo timu ikiwa chini ya yule Ngelewa Jose Mourihno
Kama unaamini Man United iliyochukuliwa juzi tu na Ole imebadilika na kuwa bora kwanini usiamini Ajax ya miaka 2 iliyopita imekuwa bora sana??Anyway,naijua sana Man United,najua inapata tabu kucheza na timu za aina gani ya uchezaji,hizo timu nilizokutajia utaona zinacheza soka ya aina moja,Juventus ni bora zaidi ya Ajax lakini aina yao ya uchezaji tunaumudu ndio maana sijaiweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan man u wakikutana na man city naona kabisa man city akitembea nusu fainali


Mpaka sasa sijaona timu ya kumzuia liverpool kuchukua uefa

Liver kapita mikono ya wanaume, psg, buyern daaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manchester city vs Liverpool
Juventus vs Ajax
Manchester united vs Porto
Barcelona vs Spurs
hii itakuwa nzuri kweli ikitokea
 
Man u na man city haziwezi pangwa pamoja zote za ligi moja
Hatua hii hakuna KUPANDA MBEGU. Unapangwa na yeyote, kutegemea na hiyo KAMARI itakavyo waangukia. Wanaweza kujikuta Waingereza wote kupambana, au hata wote kukutana na timu za nje ya Uingereza.
 
Man u vs Liverpool
Tottenham vs man city
Barcelona vs juventus
Ajax vs porto

Hii itapendeza zaidi
 
Back
Top Bottom