WeedTimu yangu Man United naomba iepuke timu tatu tu,Barca,City na Ajax...waliobakia tutapambana nao kiume
Sent using Jamii Forums mobile app
WeedTimu yangu Man United naomba iepuke timu tatu tu,Barca,City na Ajax...waliobakia tutapambana nao kiume
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao Ajax tuliwapiga 3 katika fainali ya Europa tukachukua ndoo timu ikiwa chini ya yule Ngelewa Jose MourihnoTimu yangu Man United naomba iepuke timu tatu tu,Barca,City na Ajax...waliobakia tutapambana nao kiume
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vipi tena mbona unakwama, msimu uliopita liver alicheza na man city, walitoka ligi mojaMan u na man city haziwezi pangwa pamoja zote za ligi moja
Ndugu,sio ustaarabu mtu anatoa maoni yake kwa lugha nzuri yenye staha halafu wewe unamjibu kwa neno lenye kuudhi,tafadhali naomba uniombe radhi
Kama unaamini Man United iliyochukuliwa juzi tu na Ole imebadilika na kuwa bora kwanini usiamini Ajax ya miaka 2 iliyopita imekuwa bora sana??Anyway,naijua sana Man United,najua inapata tabu kucheza na timu za aina gani ya uchezaji,hizo timu nilizokutajia utaona zinacheza soka ya aina moja,Juventus ni bora zaidi ya Ajax lakini aina yao ya uchezaji tunaumudu ndio maana sijaiwekaHao Ajax tuliwapiga 3 katika fainali ya Europa tukachukua ndoo timu ikiwa chini ya yule Ngelewa Jose Mourihno
Inawezekana mkuu.Man u na man city haziwezi pangwa pamoja zote za ligi moja
Hatua hii haina kanuni hiyo. Wanaweza kupangwa tu.Man u na man city haziwezi pangwa pamoja zote za ligi moja
Amekosea ni mji mmojaMkuu vipi tena mbona unakwama, msimu uliopita liver alicheza na man city, walitoka ligi moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah apo itakuwa balaaBarcelona vs Man City
Liverpool vs Juventus
Man United vs Porto
Ajax vs Tottenham
Natamani iwe hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Man u na man city haziwezi pangwa pamoja zote za ligi moja
Hatua hii hakuna KUPANDA MBEGU. Unapangwa na yeyote, kutegemea na hiyo KAMARI itakavyo waangukia. Wanaweza kujikuta Waingereza wote kupambana, au hata wote kukutana na timu za nje ya Uingereza.Man u na man city haziwezi pangwa pamoja zote za ligi moja