Bashiri yangu ya mechi za robo fainali ya UEFA itafyokua

Man u na man city haziwezi pangwa pamoja zote za ligi moja
Shabiki mwenzangu wa soka usiniangushe bhana, ni kawaida sana timu za ligi moja kukutana Uefa , mfano mwaka jana Liverpool na Manchester city walikutana.

Mwaka huu pia uwezekano wa timu za EPL kukutana Uefa hatua ya robo finali ni kawaida sana, kwa maana zipo nying (4) kulko nchi zingne


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu kila timu mnaiogopa mtacheza na nani....
Nimetaja tatu ambazo naona hatari zaidi kwetu kwa maoni yangu,bado kuna nyingine 4,kila timu huwa haiombei ikutane na team flani ktk stage flani!!Unadhani Barca watapenda kukutana na City au Liverpool badala ya Porto??ni kawaida sana japo yoyote utakayepangiwa utapambana nae tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajax vs man u
Liver vs man city
Spurse vs barca
Juve vs porto
 
Man city vs Barcelona
Liverpool vs Ajax
Man United vs Porto
Juventus vs Totttenham

Final Juventus vs Man City or Juventus vs Man United
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…