Ushora Ndago
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 318
- 360
Usijidanganye bi dada ! Watu wapo kazini makini kweli kweli ! Unayo yafikiria baki nayo tuu kimya kimya!
Hata Gaddafi alikuwa anamiliki jeshi , mwisho wa siku aliokotwa kwenye HandakiUsijidanganye bi dada ! Watu wapo kazini makini kweli kweli ! Unayo yafikiria baki nayo tuu kimya kimya!
Mimi sijui unamaanisha nini unaponiita msukule wa siasa, ila haya nakuachia mwenyewe. Niseme tu ni kweli sielewi kinachoendelea na hasa nikiwaona hawa jeshi la polisi ambalo tunaelezwa kwamba wao kazi yao ni kutulinda na mali zetu, lakini tunaona wanafanya kinyume chake. Kazi moja ya polisi ni kuhakikisha usalama wetu, lakini hebu acha kubisha ni mtanzania gani leo hii atakae amini kama yuko salama?Kwani Zitto Kabwe anavyowanyonya Madiwani na kuwalazimisha wakubaliane na Mawazo yake ni haki na haki ya aina hiyo umejifunzia huko kuwaahidi Madiwani kuwapatia 10% kutoka kwenye miradi mikubwa ya Serikali. Pia hata unavyoonesha ni Msukule wa siasa hujui kinachoendelea.
Afadhali umefunguka! Muda utaongea, tutaja kumbushana humu jamvini post 2020 GE safari ikiendelea bila mawaa!Hata Gaddafi alikuwa anamiliki jeshi , mwisho wa siku aliokotwa kwenye Handaki
Kwa taarifa zilizopo ni Kwamba Zitto Kabwe ni Kitu ya Watu. Maalama yaliyomjaa usoni ni oil ya Kumlainisha asiumie jamani. Kule mlaini lakini Sura imeharibika saaana ukimwangalia kwa karibu utafikili SukulNimesema mara nyingi humu jamvini ! Zitto Zuberi Kabwe ni mwanasiasa mnafiki hakuna mfanowe ! Kila siku anashinda mitaa ya Twitter na Kona za Instagram kusogoa na wenzie kina Fatuma karume...., kasikia Dr. Bashiru anaanza Ziara kigoma huyo ghafla kaibukia mitaa ya ujiji ! Hovyo kabisa huyu jamaa ! Eti anaenda kuwatumikia wapiga kura wake, hovyoo ! Kumekucha ndio anapapasa kutafuta shuka ! Khaa!
Ccm ina miaka 60 ingestaafu maana kama haikufanya kazi wakati wa Ujana itafanya Uzeeni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Akiwa kachomekwa vijiti makalioni. Mbabe wa wababe, ubabe uliisha!Hata Gaddafi alikuwa anamiliki jeshi , mwisho wa siku aliokotwa kwenye Handaki
Ngoja niachie tu kusoma...maana mnakera sana.Sema dawa ni moja tu kua ipo siku mtazikwa..ingekua kua watazikwa wanao onewa tu ingekua vibaya lkn mwisho nanyi mtafukiwa udongoZitto ni pumbavu sana,anataka kupima upepo wa ndagu zake dhidi ya CCM[emoji1787][emoji1787][emoji1787] fala kweli,asubiri kwanza wanaume wamalize ziara aje kupaka kinyesi kama kawaida yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Haki haiobwi inadaiwa nashauri muandamaneHivi ni demokrasia gani mbunge anazuiwa na watu wasiochaguliwa na katibu asiye chaguliwa na wananchi ndiye anaruhusiwa. Tanzania bado sana inasikitisha mpaka leo jamani.