Bashiru Ally Kakurwa wa awamu ya 5 ni sawa na Isaack Maliyamungu wa Idd Amin Dada, au Joseph Goebbels wa Hitler, ashughulikiwe vilivyo

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Maliyamungu na Goebbels walikuwa ni majinamizi kwenye nchi zao. Walikuwa ni majini yaliyoshindwa kutosheka na damu. Walikuwa majitu makatili sana, yakasababisha nchi zao ziharibike kabisa.

Bila shaka baada ya wao kufa, walibaki wengine, na hata sisi tunaye, anajijua
 
Mh! Warrant officer wa chama juzijuzi walikuwa wanakusujudia hawa wanaokupiga mawe sasa! Kuna funzo kubwa hapa duniani hujafa hujaumbika na usivimbe leo waza na kesho yako
 
Oooh siku hizi kuna uhuru wa kutoa maoni ohhh...nimeamini wananchi nchi hii ndio wajinga...Viongozi wetu washatufahamu...Sasa kosa la huyu bwana ni lipi
Huyo ni NDULI, kama alivyokuwa Idd Amin Dada
 
Maliyamungu na Goebbels walikuwa ni majinamizi kwenye nchi zao. Walikuwa ni majini yaliyoshindwa kutosheka na damu. Walikuwa majitu makatili sana, yakasababisha nchi zao ziharibike kabisa.

Bila shaka baada ya wao kufa, walibaki wengine, na hata sisi tunaye, anajijua
Hakika hujaeleweka...!

Kwani ni nini tatizo la Bashiru Ally Kakurwa..?

Kwanini unamhusisha na majini yanywayo damu za watu..?

Hebu eleza hawa Maliyamungu na Goebbels wanahusiana kwa namna gani na Bashiru Ally..?
 
Hakika hujaeleweka...!

Ni nini tatizo la Bashiru Ally Kakurwa..?

Kwanini unamhusisha na majini yanywayo damu za watu..?

Hebu eleza hawa Maliyamungu na Goebbels wanahusiana kwa namna gani na Bashiru Ally..?
Hujaelewa nini?
 
Maliyamungu na Goebbels walikuwa ni majinamizi kwenye nchi zao. Walikuwa ni majini yaliyoshindwa kutosheka na damu. Walikuwa majitu makatili sana, yakasababisha nchi zao ziharibike kabisa.

Bila shaka baada ya wao kufa, walibaki wengine, na hata sisi tunaye, anajijua
Watu kama wewe ukiambiwa dhibitisha unayosema utaweza?
20221119_091341.jpg
 
Oooh siku hizi kuna uhuru wa kutoa maoni ohhh...nimeamini wananchi nchi hii ndio wajinga...Viongozi wetu washatufahamu...Sasa kosa la huyu bwana ni lipi
Uhuru wa kutoa mawazo unaweza kuusifia kama haujagongwa, ila ukigongwa utajikuta unaukanyaga huo uhuru.

Wao waliposema vile walidhani wamewafungulia watu wa kumtusi marehemu tu, ndio maana walikuwa wanashinda twitter hadi usiku wa manane, sasa mambo wanaona yanawarudi wao wanahamaki.
 
Back
Top Bottom