Hakika hujaeleweka...!Maliyamungu na Goebbels walikuwa ni majinamizi kwenye nchi zao. Walikuwa ni majini yaliyoshindwa kutosheka na damu. Walikuwa majitu makatili sana, yakasababisha nchi zao ziharibike kabisa.
Bila shaka baada ya wao kufa, walibaki wengine, na hata sisi tunaye, anajijua
Watu kama wewe ukiambiwa dhibitisha unayosema utaweza?Maliyamungu na Goebbels walikuwa ni majinamizi kwenye nchi zao. Walikuwa ni majini yaliyoshindwa kutosheka na damu. Walikuwa majitu makatili sana, yakasababisha nchi zao ziharibike kabisa.
Bila shaka baada ya wao kufa, walibaki wengine, na hata sisi tunaye, anajijua
Uhuru wa kutoa mawazo unaweza kuusifia kama haujagongwa, ila ukigongwa utajikuta unaukanyaga huo uhuru.Oooh siku hizi kuna uhuru wa kutoa maoni ohhh...nimeamini wananchi nchi hii ndio wajinga...Viongozi wetu washatufahamu...Sasa kosa la huyu bwana ni lipi
Nisichoelewa ni hicho kilichomo kwenye maswali hayo niliyokuuliza...Hujaelewa nini?