Bashiru for Tanzania presidency 2025

Bashiru for Tanzania presidency 2025

Execute

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
3,000
Reaction score
7,336
I hate ccm but the guy who experiences hate from ccm might be the right guy.

Bashiru needs to apologize for his proud statements during his time as the party secretary.

Then and only then some of us will consider voting for him.
 
Some of you and not some of us
 
Nyie maccm Kwa maccm mnaleta Uzi wa kinafiki tu mnataka avuliwe ubunge mfurahi hamuna lolote, ccm mazuzu
 
I hate ccm but the guy who experiences hate from ccm might be the right guy.

Bashiru needs to apologize for his proud statements during his time as the party secretary.

Then and only then some of us will consider voting for him.
Ccm ijibu hoja zake ila watanzania hawaaminiki.
Polepole alivyogeuka wakati anakula mema hadi nilishangaa.
Bashiru sasa hivi anapinga kile alichokuwa akiwafanyia wengine wakati wake.
Nape ameexperience pande zote mbili za shilingi lakini sasa hivi kasahau.
Watanzanja wakipata madaraka wanasahau mapema sana
 
Ubongo ulipewa kwa kazi gani ikiwa unaongea bila kuushirikisha?
 
Ccm ijibu hoja zake ila watanzania hawaaminiki.
Polepole alivyogeuka wakati anakula mema hadi nilishangaa.
Bashiru sasa hivi anapinga kile alichokuwa akiwafanyia wengine wakati wake.
Nape ameexperience pande zote mbili za shilingi lakini sasa hivi kasahau.
Watanzanja wakipata madaraka wanasahau mapema sana
Watanzania wengi unafiki umewajaa. Inapokuja kwenye suala la maslahi yao wanaweza hata kuwakana wazazi.

Bashiru alikosea kipindi kile anatoa kauli za ujeuri na ubabe. Ninaamini amejifunza.
 
Mhhh, kwa Urais hapo kanoa - hatumpi sababu alitubeza sana enzi akiwa utawalani na mwendazake. Tunamsaidia tu hoja yake ijibiwe kwa wakti basi.
 
We definitely need another president not this one.

Hana uchungu kabisa na nchi yetu.

Sio lazima hata awe Bashiru , mwingine yeyote tu ambaye ana uchungu na rasilimali za nchi yetu.

Tusipofanya hivyo mchwa watatutafuna jumba lituangukie.
 
Ccm ijibu hoja zake ila watanzania hawaaminiki.
Polepole alivyogeuka wakati anakula mema hadi nilishangaa.
Bashiru sasa hivi anapinga kile alichokuwa akiwafanyia wengine wakati wake.
Nape ameexperience pande zote mbili za shilingi lakini sasa hivi kasahau.
Watanzanja wakipata madaraka wanasahau mapema sana
Sitawasahau wazalendo wawili (the only ones) maishani
  1. Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
  2. Hayati Edward Moringe Sokoine
Walimaanisha walichokisema
Walisimamia walichokiamini
Walisimamia haki za waliowengi
Kamwe hawakukengeuka kutokana na nafasi zao
Bado sijaona wa kufanana nao
Bado sijaona hata dalili za kutokea kwa watu wa aina yao
 
Akakenue mdomo
We definitely need another president not this one.

Hana uchungu kabisa na nchi yetu.

Sio lazima hata awe Bashiru , mwingine yeyote tu ambaye ana uchungu na rasilimali za nchi yetu.

Tusipofanya hivyo mchwa watatutafuna jumba lituangukie.
Unatafuta vichaa mnaofanana
 
Akakenue mdomo

Unatafuta vichaa mnaofanana
Sioni uongozi huu ukijitolea kwa dhati kujibu maswali ya wananchi wa kawaida.

Maswali mengi ya wananchi hayana majibu.

Tunahitaji watu wengine wenye moyo ya dhati wa kulitumikia Taifa letu.

Kuzilinda Rasilimali zetu na kutoa majibu ya maswali ya wananchi.

Jambo ambalo halifanyiki kwa sasa.
 
I hate ccm but the guy who experiences hate from ccm might be the right guy.

Bashiru needs to apologize for his proud statements during his time as the party secretary.

Then and only then some of us will consider voting for him.
✅✅✅✅✅✅
 
Back
Top Bottom