Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Naandika pasipo tashwishwi yoyote. Kuna hoja aliwahi zungumza msomi wa Siasa Dr. Bashiru kuwa CCM itatumia Dora kubaki madarakani. Nikawaza je na yeye anaweza tumia Dora kubaki katika nafasi yake?
Lakini nmesikitika kuona Prof wangu Kabudi akibagazwa kwa ile nafasi ambayo alikuwa nayo iliyomsaidia kutuletea dawa za Corona toka nje naye akawa wa kwanza kabisa kunywa pasipo tashwishwi kabisa.
Tuendeleeni kujivukiza hasa katika kipindi hiki. Safari hii tujivukize kwa moshi unaotokana na mchanganyiko wa kuchomwa pilipili kichaa, bhangi, mwarobaini, tangawizi, muarovera na mchunga.