Bashite Komba Radhi Watanzania Baada ya Kipigo Cha Kenya Ni Kujichanganya

Mnyanyembe wa Mboka

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2017
Posts
2,348
Reaction score
3,038
Nikiwa nimejawa furaha zenye majonzi baada ya Taifa Stars kuchapwa na 3 kwa 2 na Harambee Stars, hii inafuatia furaha za wapenzi wa soka walio wengi hasa vijana ambao tumefurahia kufungwa kwa timu yao badala ya kusikitika.

Hili limetokea baada ya yule mkuu wa mkoa mwenye kiherehere, na mwenye bahati mbaya kwa kutofanikiwa kwa kila afanyalo kujinasibu kuwa ushindi wa Taifa Stars Ni ushindi wa CCM

Cha ajabu kiherehere huyo baada ya kuitia nuksi timu ya Taifa kwa kujishaua na kujishebedua as if ni timu ya CCM na hatimae kupata kipigo kitakatifu kutoka kwa Harambee amewaomba radhi watanzania badala ya kuwaomba radhi CCM ambao ndio wenye timu yao

Kijana hebu jitambue mbona kama unalazimisha mambo tunakusubiri kanisani ukamlilie bwana tena katika hili ...

Yaani wewe kwenda kuwapigisha magoti watoto wa waislamu kwa jina la YESU we kweli kibokoooo na wakayapiga du!!!

Kwani we mtu una nini mbona unaboranga kila siku halafu wanakuacha tu ... Mpaka subwoofer anakuogopa asee we mtu unanini???

Neno langu kwako ... "Majigambo na tambo zinazopaa kama unyoya kwa kukosa busara mara nyingi huanguka ghafla kama nazi kavu ..."

Kuna siku utaishi kwa dhiki na tabu kwa majigambo na tambo zako zisizo na busara

Muda Ni Mwalimu mzuri yetu macho na upande wa sikio
 
Msikilize mwanri apo
 
Yaani unamsema vibaya rais wako mtarajiwa! Ngoja siku aapishwe, itakubidi ukimbilie uhamishoni huko Kenya. (Siyo mimi lakini ninayemtabiria! Kuna wadau wapo humu)
 
Megaphone alimuitaga jamaa kwenye kamati ya madili bungeni... kajamaa kakadinda kwenda na hakukafanya chochote...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom