Acha uchonganishi hii kampeni imeanza siku kadhaa nyuma hata kabla ya efm kutangaza tamasha lao.Clouds waanzisha kampeni mpya ya kumnanga bashite aachane na mpango wa kuvuruga tamasha la fiesta litakalo fanyika leaders tarehe 25 baada ya kuwepo tetesi kuwa kuna mpango wa kuwepo shughuli nyingine tarehe kama hiyo siku hiyo hapo leaders itakayoandaliwa na bashite.
Akitolea ufafanuzi wa kampeni ya usiwe kama kaa mkurugenzi wa clouds bw. Ruge alisema kuwa ukimuweka kaa moja moja kwenye ndoo atatoka ila ukiwajaza kaa wengi kwenye ndoo hawatatoka kwani kila moja atagombania kutoka kwa kumvuta mwingine asitoke
Msemo huu kwa nini hauhusishi Kanisa!!?, au kuna ukweli kuwa kanisa sio nyumba ya Mungu eeeh..?mbwa akikuzoea sana utaingia naye msikitini
Kwani hapo kataja nyumba ya Mungu?Msemo huu kwa nini hauhusishi Kanisa!!?, au kuna ukweli kuwa kanisa sio nyumba ya Mungu eeeh..?
Clouds waanzisha kampeni mpya ya kumnanga bashite aachane na mpango wa kuvuruga tamasha la fiesta litakalo fanyika leaders tarehe 25 baada ya kuwepo tetesi kuwa kuna mpango wa kuwepo shughuli nyingine tarehe kama hiyo siku hiyo hapo leaders itakayoandaliwa na bashite.