kadoda11 JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 21,453 Reaction score 20,746 Nov 19, 2017 #41 angalau awamu hii na wao(clouds) wamepata mababe wao.
Nimkimbilie nani JF-Expert Member Joined Nov 23, 2016 Posts 5,996 Reaction score 6,290 Nov 19, 2017 #42 TzComedy said: Msemo huu kwa nini hauhusishi Kanisa!!?, au kuna ukweli kuwa kanisa sio nyumba ya Mungu eeeh..? Click to expand... Mwili wa mtu ndio nyumba au hekalu la Mungu na sio jengo.
TzComedy said: Msemo huu kwa nini hauhusishi Kanisa!!?, au kuna ukweli kuwa kanisa sio nyumba ya Mungu eeeh..? Click to expand... Mwili wa mtu ndio nyumba au hekalu la Mungu na sio jengo.
Granta JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 5,016 Reaction score 6,310 Nov 19, 2017 #43 What goes around comes around, Ruge inamrudi sasa Na baadae pia itarudi kwa Bashite, maisha raha sana
What goes around comes around, Ruge inamrudi sasa Na baadae pia itarudi kwa Bashite, maisha raha sana
D dutch2 JF-Expert Member Joined Sep 20, 2017 Posts 1,009 Reaction score 976 Nov 19, 2017 #44 acha wanyoroshwe pumbavuuu kama anajua aipige calender iyo show
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Nov 19, 2017 #45 Basi bashite atakuwa chwago sio kaa tena.. Lakin clouds nao wana nongwa kama watoto wa mganga!! Wakiwafanyia wenzao poa, yakiwakuta wao wanapiga kelele kama mtoto wa mama kajikwaa kidole cha mwisho..
Basi bashite atakuwa chwago sio kaa tena.. Lakin clouds nao wana nongwa kama watoto wa mganga!! Wakiwafanyia wenzao poa, yakiwakuta wao wanapiga kelele kama mtoto wa mama kajikwaa kidole cha mwisho..
sergio 5 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 9,405 Reaction score 10,637 Nov 19, 2017 #46 Bora aivuruge tu hiyo fiesta yao
mwanajamii mpya JF-Expert Member Joined Mar 18, 2017 Posts 554 Reaction score 445 Nov 19, 2017 #47 Kinega mpya
mtanganyika wa kweli JF-Expert Member Joined Apr 12, 2015 Posts 2,420 Reaction score 1,721 Nov 19, 2017 #48 TzComedy said: Msemo huu kwa nini hauhusishi Kanisa!!?, au kuna ukweli kuwa kanisa sio nyumba ya Mungu eeeh..? Click to expand... akiliczajo zinaonekana ni zakuchambia
TzComedy said: Msemo huu kwa nini hauhusishi Kanisa!!?, au kuna ukweli kuwa kanisa sio nyumba ya Mungu eeeh..? Click to expand... akiliczajo zinaonekana ni zakuchambia