BASHITE SASA AJIITA MALIYAMUNGU

mwambadog

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
1,736
Reaction score
1,446
YASEMEKANA BASHITE NOW NAWALAZIMISHA WATU WAMUITE MALIYAMUNGU BAADA YA UTENDAJI KAZI ULIOTUKUKA NA SIFA KIBAO KUTOKA NJE NA NDANI YA MIPAKA YETU.

IKUMBUKWE JINA HILO KALIRITHI KUTOKA KWA ALIYEKUWA MFANYAKAZI MTIIIFU WA RAISI IDD AMIN DADA, ALIESIFIKA KWA KUFUATA MAELEZO KWA UMAKINI SANA BILA MAKOSA

BASHITE AKA MALIYAMUNGU

UBARIKIWE
 

Attachments

sawa tuwamwita tu kwani shingapi...... ila kesi yake ya vyeti feki ishaanza kushughulikiwa
 
Hivyo Dress Code ya watumishi wa UMMA haiwahusu wakuu wa mikoa? Bashite kavaa kihuni halafu anapigiwa salute!!!
 
Hao wazee wanapiga salute ROHO ZINAWAUMA.....ama kweli kama hukusumbua akili ujanani uzeeni utatumikisha mwili
Eti kama hutumii akili sehemu za siri zitatumika sana? naomba unijibu mzee mwenzangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…