Bashungwa Afika Somanga Kukagua Athari za Mvua Barabara ya Dar - Lindi

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

BASHUNGWA AFIKA SOMANGA KUKAGUA ATHARI ZA MVUA BARABARA YA DAR - LINDI

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amefika katika eneo la Somanga - Mtama mkoani Lindi kuungana na Timu ya Watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi kuratibu kazi ya kurejesha mawasiliano ya Barabara ya Lindi – Dar- es Salaam ambayo imeharibiwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha zilizobatana na kimbunga Hidaya, leo tatehe 05 Mei 2024
 
Attachments

  • WhatsApp Video 2024-05-05 at 16.50.26.mp4
    31.4 MB
Vipi Per diem yake ameshalipwa , je Dereva wake amepata posho ya safari na mafuta, Hilo ndo muhimu kwake mengine politics
 
BASHUNGWA AFIKA SOMANGA KUKAGUA ATHARI ZA MVUA BARABARA YA DAR - LINDI

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amefika katika eneo la Somanga - Mtama mkoani Lindi kuungana na Timu ya Watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi kuratibu kazi ya kurejesha mawasiliano ya Barabara ya Lindi – Dar- es Salaam ambayo imeharibiwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha zilizobatana na kimbunga Hidaya, leo tatehe 05 Mei 2024
Waambie wasizubaezubae sana hapo, barabara inaweza kukatika upande walikotokea wakajikuta wanaishia katikati kama Elnino ya 1997 kule Iyovyi
 
Back
Top Bottom