Bashungwa ameagiza kuongezwa kwa vivuko kuanzia kesho ili kuweza kusafirisha abiria wengi zaidi wanaotumia vivuko vya Kigamboni

 Bashungwa ameagiza kuongezwa kwa vivuko kuanzia kesho ili kuweza kusafirisha abiria wengi zaidi wanaotumia vivuko vya Kigamboni

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Waziri wa Ujenzi Mh. Innocent Bashungwa ameagiza kuongezwa kwa vivuko kuanzia kesho sambamba na kuongezwa kwa muda wa kutoa huduma ili kuweza kusafirisha abiria wengi zaidi wanaotumia vivuko vya Kigamboni.

Hata hivyo, mmoja wa wakazi wa Kigamboni Bw. Ballu Abdul amemueleza Waziri Bashungwa changamoto wanazokutana nazo katika vivuko hivyo.

Soma Pia:
Waziri wa Ujenzi awaondoa Watendaji wa TEMESA Kivukoni Dar kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao



 
bashungwa ni kiazi mviringo alishawahi kusema daladala na magari yote binafsi yatumie njia za mwendoksi sasa najiuliza haya mamiradi yalianzishwa yanini kama hata akili ndogo tu ya kuyatumia hakuna? inakera sana.
 
Back
Top Bottom