Waziri wa Ujenzi Mh. Innocent Bashungwa ameagiza kuongezwa kwa vivuko kuanzia kesho sambamba na kuongezwa kwa muda wa kutoa huduma ili kuweza kusafirisha abiria wengi zaidi wanaotumia vivuko vya Kigamboni.
Hata hivyo, mmoja wa wakazi wa Kigamboni Bw. Ballu Abdul amemueleza Waziri Bashungwa changamoto wanazokutana nazo katika vivuko hivyo.
bashungwa ni kiazi mviringo alishawahi kusema daladala na magari yote binafsi yatumie njia za mwendoksi sasa najiuliza haya mamiradi yalianzishwa yanini kama hata akili ndogo tu ya kuyatumia hakuna? inakera sana.