Pre GE2025 Bashungwa Ashiriki Misa ya Pasaka Jimboni Karagwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

BASHUNGWA ASHIRIKI MISA YA PASAKA JIMBONI KARAGWE.

Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent L. Bashungwa ameungana na Waumini wa Parokia teule ya Kayungu Jimbo Katoliki la Kayanga wilayani Karagwe kushiriki Misa Takatifu ya Pasaka, leo tarehe 31 Machi 2024.

Misa hiyo Takatifu imeongozwa na Padre Abdon Burondo, Mlezi wa Kituo cha Malezi Chabalisa ambapo wameshiriki waumini mbalimbali ikiwa ni pamoja na familia ya Waziri Bashungwa.

Waziri Bashungwa ametumia nafasi hiyo kutoa salamu za Serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2024-03-31 at 14.07.17.jpeg
    WhatsApp Image 2024-03-31 at 14.07.17.jpeg
    372 KB · Views: 6
  • WhatsApp Image 2024-03-31 at 14.07.17(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-03-31 at 14.07.17(1).jpeg
    460.7 KB · Views: 6
  • WhatsApp Image 2024-03-31 at 14.07.18(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-03-31 at 14.07.18(1).jpeg
    279.1 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2024-03-31 at 14.07.19.jpeg
    WhatsApp Image 2024-03-31 at 14.07.19.jpeg
    240.6 KB · Views: 5
  • WhatsApp Image 2024-03-31 at 14.07.19(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-03-31 at 14.07.19(1).jpeg
    350.3 KB · Views: 5
  • WhatsApp Image 2024-03-31 at 14.07.20.jpeg
    WhatsApp Image 2024-03-31 at 14.07.20.jpeg
    464.9 KB · Views: 6
  • WhatsApp Image 2024-03-31 at 14.07.22.jpeg
    WhatsApp Image 2024-03-31 at 14.07.22.jpeg
    510 KB · Views: 6

BASHUNGWA ASHIRIKI MISA YA PASAKA JIMBONI KARAGWE.

Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent L. Bashungwa ameungana na Waumini wa Parokia teule ya Kayungu Jimbo Katoliki la Kayanga wilayani Karagwe kushiriki Misa Takatifu ya Pasaka, leo tarehe 31 Machi 2024.

Misa hiyo Takatifu imeongozwa na Padre Abdon Burondo, Mlezi wa Kituo cha Malezi Chabalisa ambapo wameshiriki waumini mbalimbali ikiwa ni pamoja na familia ya Waziri Bashungwa.

Waziri Bashungwa ametumia nafasi hiyo kutoa salamu za Serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Naomba nielekezwe!! Hivi Mbele ya nyumba ya mungu viongozi wa kisiasa hawaji na miavuli yao vyeo vyao vya kisiasa na huwa ni sehemu ya waumini kama waumini wengine, Sasa huwepelekwa pale Mbele waongee kama Nani mbele ya nyumba ya mungu?? Ikiwa nao pale ni waumini kama waumini wengine
 
BASHUNGWA ASHIRIKI MISA YA PASAKA JIMBONI KARAGWE.

Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent L. Bashungwa ameungana na Waumini wa Parokia teule ya Kayungu Jimbo Katoliki la Kayanga wilayani Karagwe kushiriki Misa Takatifu ya Pasaka, leo tarehe 31 Machi 2024.

Misa hiyo Takatifu imeongozwa na Padre Abdon Burondo, Mlezi wa Kituo cha Malezi Chabalisa ambapo wameshiriki waumini mbalimbali ikiwa ni pamoja na familia ya Waziri Bashungwa.

Waziri Bashungwa ametumia nafasi hiyo kutoa salamu za Serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Na mimi nimeshiriki ibada nijitangaze wapi
 
Informing the public about this trivial matter. So what?
 
Back
Top Bottom