Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
nini kifanyike? wananchi wafaye nini?Maslahi ya CCM kwetu ni muhimu sana kuliko maslahi ya wananchi, kwa kauli hii ni wazi CCM haiko tayari kuona Tanzania tunakuwa na katiba mpya ya wananchi, hii ndiyo CCM ya matajiri wafanyabiashara dhidi ya wananchi.
Waendelee kuvuta shuka, usingizi ni mnono zaidi kwa watanzania.nini kifanyike? wananchi wafaye nini?
Aache uongo! Kilichofanyika hapo ni muendelezo tu wa kukifanya chama kuwa mali ya watu wachache wenye ushawishi wa kifedha.Maslahi ya CCM kwetu ni muhimu sana kuliko maslahi ya wananchi, kwa kauli hii ni wazi CCM haiko tayari kuona Tanzania tunakuwa na katiba mpya ya wananchi, hii ndiyo CCM ya matajiri wafanyabiashara dhidi ya wananchi.
wananchi wa kufanya nini hawajazaliwa.. waliopo wamejaa hormone za mihemuko na kisukari..nini kifanyike? wananchi wafaye nini?