Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Tunawaondoa Tarehe 9 Dec .Hakuna waziri nchi hii ana mamlaka kamili. Wote ni vivuli tu
Utaelewa tu, Mlituteka Mmoja Mmoja, mkadhani ndio SILAHA yenuKama umezoea kifo toka kesho kafanye ule uharibifu wa mali na wizi wa mali za watu kama mlioufanya tukuzawadie zawadi ya kifo
Shubamit
Kihelehele ndo nini acha kulegeza ulimi ukiongea na wanaumeUtaelewa tu, Mlituteka Mmoja Mmoja, mkadhani ndio SILAHA yenu
Unazungumzia Mali gan?.
Wacha kihelehele, subiri tarehe 9 , mbona zimebaki siku chache.
Unapatikana wapi , Nije na Wana Tukusalimie ?.
Wewe wacha maneno, hutaki kusalimiwa??.Kihelehele ndo nini acha kulegeza ulimi ukiongea na wanaume
Na biteko nae, ππππJojo utamu ukiisha inatemwa Tulia anaenda kupiga makofi meza
Punguza kiherehere! Subiri hiyo tarehe ifike, halafu ujitokeze hadharani kupambana na waandamnaji.Kama umezoea kifo toka kesho kafanye ule uharibifu wa mali na wizi wa mali za watu kama mlioufanya tukuzawadie zawadi ya kifo
Shubamit
TZ haijazaliwa 2025, imebagazwa na chama kimoja since.. Wanasema small minds discuss people, na watu wanakuja na kuondoka. Shida ni katiba mbovu inayoleta na kuwalea watu wabovu wasiweza kuwajibishwa na yoyote. Katiba mpya ndio suluhu.Hili Halina cha Saliatume , Wala Cha MARIDHIANO.
Yoyote alohusika Kuwaua Watanzania Atafikiwa tu !!.
Uzuri sisi tumeshaziea Misiba na Maumivu , sisi ni watoto wa Mafukara, Hapa Duniani hatuna Cha kupoteza
Sasa basi Jiandaeni !!.