Basi gani linaloanzia Dodoma kwenda Geita?

Mkanaani

Senior Member
Joined
Jul 31, 2021
Posts
197
Reaction score
582
Habari zenu,

Naombeni msaada ni bus gani linaloanzia Dodoma kwenda Geita, achana na haya yanayotokea Dar kwenda Geita.

Asanteni.
 
Dodoma is overrated, cheki mpaka basi la kwenda geita ambapo ni karibu hakuna wakati hapa Dar mabasi yapo ya kutosha hata Mimi ambae sijawahi fika geita nalijua basi la geita
 
Dodoma is overrated, cheki mpaka basi la kwenda geita ambapo ni karibu hakuna wakati hapa Dar mabasi yapo ya kutosha hata Mimi ambae sijawahi fika geita nalijua basi la geita
Tatizo ni la Dodoma au Geita? Mikoa Mingi tuu Hakuna mfano Sumbawanga -Dodoma hakuna basi.
 
Tatizo ni la Dodoma au Geita? Mikoa Mingi tuu Hakuna mfano Sumbawanga -Dodoma hakuna basi.
Wtf you talking about? Dodoma is a capital city and wannabe metropolitan area in Tz. It should have the connection ukizingatia njia ndio hiyo hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…