Basi gani zuri Dar -Kampala

Basi gani zuri Dar -Kampala

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Wakuu habari zenu,

Nauliza kama kampuni gani nzuri ya mabasi kutoka Dar kwenda Kampala Uganda nina taka nisafiri kwa raha bila bugdha.

Asanteni
 
Wakuu habari zenu,

Nauliza kama kampuni gani nzuri ya mabasi kutoka Dar kwenda Kampala Uganda nina taka nisafiri kwa raha bila bugdha.

Asanteni
Tofauti na Friends hakuna Bus jingine zuri
 
Back
Top Bottom