Basi gani zuri Dar - Mtwara?

Basi gani zuri Dar - Mtwara?

Paa

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
1,462
Reaction score
2,935
Mada tajwa yahusika

Karibu kwa mapendekezo pamoja na sifa za basi husika, kama una na contact itakua poa zaidi

Nasikia hizi basi huwa hawaanzii stendi (ubungo kwa zamani) wanaanzia mbagala. Je, ni kweli?

Kwa siku hizi sijajua kama wanaanzia mbezi au bado ni mbagala. Naomba kujuzwa

Nawasilisha....
 
1. Buti la Zungu
2. Baraka (Hii hutokea Dodoma)
3. Maning Nice
4. Tashrif
Na mengine mengi
 
  • Thanks
Reactions: Paa
Mabasi ya Dar Mtwara yote yanaanzia Temeke. Muda wa safari ni saa 12 asubuhi, saa moja asubuhi, saa nne asubuhi na basi la mwisho ni saa 6 mchana. Lipi bora au nzuri zaidi siwezi kusema ila nimewahi kusafiri na Buti la Zungu na kampuni zingine sikuona utofauti, huduma zote zinafanana. Hivyo ni vizuri ufike ukachague basi ambalo binafsi utaona linakufaa.
Kila lakheri kwenye safari yako

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Paa
Back
Top Bottom