Basi gani zuri la kusafiria kwenda Songea Ruvuma

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,342
Reaction score
3,885
Jamani nataka kutravel kuelekea songea ila sijajua ni basi gani zuri na lenye usalama. Naombeni msaada wenu pls
 
Jamani nataka kutravel kuelekea songea ila sijajua ni basi gani zuri na lenye usalama. Naombeni msaada wenu pls

Kodisha ndege mkuu!
In the serious note ngoja wa kusini waje.
Waweza kuwauliza kina Don Mangi na watu8
 
Last edited by a moderator:
Super Feo kila siku ni la kwanza kufika Dar na Songea!naona njia ile hana mshindani!
 
panda ottawa kitu scania nauli 40000. Superfeo zimechoka si unajua yotong haidumu. kwa sasa ndo anawahi kufika. Hao waliokutajia super feo wamekariri
 
Basi gani zuri kwa mwaka huu la kwenda mikoa tajwa kwenye thread
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…