Basi la abiria lawaka moto!

Basi la abiria lawaka moto!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left" bgcolor="#cccccc"><table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td class="news1"> BASI LA ABIRIA LAWAKA MOTO!

</td> <td class="news1" align="right" width="150">photos</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">
pix.gif
</td> </tr> <tr> <td class="morenews" align="left" bgcolor="#f3f3f3" valign="top"><!--colorstart:#000066--><!--/colorstart-->
<!--ThumbBegin--><!--ThumbEnd-->

<!--ThumbBegin--><!--ThumbEnd-->

<!--ThumbBegin--><!--ThumbEnd-->

<!--ThumbBegin--><!--ThumbEnd-->
NDUGU HABARI YA LEO.

NIKIWA NJIANI KUTOKA MWANZA KWENDA DAR, NIMEKUTANA NA AJALI NYIGINE YA MOTO. BASI
LA ABIRIA KUTOKA SINGIDA KWENDA DODOMA LILIPATA HITILAFU YA UMEME NA
TAIRI, HIVYO KUSABABISHA MOTO HUO, KWA BAHATI NJEMA ABIRIA WALIKUWA
CHINI 'WAKICHIMBA DAWA', LAKINI DEREVA ALIKUWA AKICHUNGULIA CHANZO CHA
MOTO NDIPO GHAFLA TAIRI LILIPASUKA NA KUMJERUHI MACHONI, AMEKIMBIZWA HOSPITALI MANYONI
KWA MATIBABU.

POLISI WALIFIKA KWA KUCHELEWA INGAWA SIMU ZILIPIGWA MAPEMA MNO. NA
HATA POLISI WALIPOFIKA WALIKUWA WAMESHEHENI SILAHA KALI BILA KUWA HATA NA NDOO MOJA
YA KUSAIDIA KUZIMIA MOTO HUO!!!

(NA EMMANUELEY MGONGO)

http://www.globalpublisherstz.com/2009/09/22/basi_la_abiria_lawaka_moto.html
<!--colorend-->
<!--/colorend-->

</td></tr></tbody></table>
 
Back
Top Bottom