Kichupa Steven
Member
- Jul 4, 2019
- 10
- 11
Basi la Kampuni ya Bilo Sports linalofanya Safari zake za Bukoba kwenda Dar Es Salaam limeshikiliwa na Askari polisi kwa madai kuwa Moja wa abiria wake anahofiwa kuwa na Virusi vya Corona hivyo kwa Muda Wote huo hakuna Abiria aliyeruhusiwa kushuka ndani ya Basi