Basi la Bilo Sports lakwama kwa saa zaidi ya Mbili katika Mji wa Tinde

Joined
Jul 4, 2019
Posts
10
Reaction score
11
Basi la Kampuni ya Bilo Sports linalofanya Safari zake za Bukoba kwenda Dar Es Salaam limeshikiliwa na Askari polisi kwa madai kuwa Moja wa abiria wake anahofiwa kuwa na Virusi vya Corona hivyo kwa Muda Wote huo hakuna Abiria aliyeruhusiwa kushuka ndani ya Basi
 
Kwahiyo wanaendelea kuambukizana ndani ya bus
Jr[emoji769]
 
Uzi upo kwenye jukwaa sahihi ?
 
Ungefafanua zaidi kama upo eneo la tukio.

Amehofiwa na abiria wenzie ndo wakatoa taarifa polisi au hapo Tinde kuna upimaji wa Corona siku hizi?
 
Ndio nimejiunga mwaka huu. Siku za nyuma sikuwa na ID.

Vip mkuu kuna tatizo ?
Nilitaka nipige sound lakini nikaona bora kwanza niwe na uhakika kama weye ni mpya au hawa tulokwisha watongoza nikaaibika bure
 
Nilitaka nipige sound lakini nikaona bora kwanza niwe na uhakika kama weye ni mpya au hawa tulokwisha watongoza nikaaibika bure
Nakushauri ufute hayo mawazo ya kutaka kutongoza.
Halafu usidanganywe na avatar chalii yangu
 
Everyone is entitled to his or her opinion.

By the way one's opinion ain't my reality, dwag.
Dad who is mom is willing to be a chakula. Keep it up mashefa wapo wamejaa JF
 
Ni
Ungefafanua zaidi kama upo eneo la tukio.

Amehofiwa na abiria wenzie ndo wakatoa taarifa polisi au hapo Tinde kuna upimaji wa Corona siku hizi?
Ni Mmoja wa abiria Tangu saa 8 Mchana Hadi sasa 11:17 jioni Bado tumekwama Hapa Upimaji wa Joto umemalizika Tunangoja Maamuzi ya Wataalamu wa Afya Ni Hapa Tinde Dispensary ndani ya Basi la Bilo Sports
 
Mbona habari nusu nusu? Hatimaye ikawaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungefafanua zaidi kama upo eneo la tukio.

Amehofiwa na abiria wenzie ndo wakatoa taarifa polisi au hapo Tinde kuna upimaji wa Corona siku hizi?

Sasa Bado tupo Kizuizini hatuna Msaada Twangojea Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga
Hapa Tinde
Ndani ya Basi la Bilo Sports
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…